CURRENT NEWS

Wednesday, October 8, 2008

Vijaynagar na Datagali wapambana vikali uwanjani.

Ulikuwa mpambano wa kuvunja na shoka pale wapinzani wa kisoka kutoka Datagali walipochuana vikali na wenzao wa Vijayannagar jioni ya leo, hadi tunaenda mitamboni Vijayannagar imeshinda kwa mabao5 dhidi ya 3 ya Datagali, mechi hiyo ambayo ilikuwa ya utangulizi ikisubiriwa ile mechi ya mwaka ya Wabunge ambayo itatangazwa karibuni.

Mpira unaochezwa mzuri huu ni mtazamo wa mmoja wa mashabiki ila atoa ushauri japo kila timu iwe na jezi zake na pia timu za wadada wa Datagali na Vijayannagar zipambanishwe tena na waandaliwe zawadi.
Anonymous said...

hao datagali vp kila siku wanafungwa wao tuu?

Anonymous said...

waambie watafute fani nyingine kama awawezi kucheza mpira wa miguuu.. cz hii ni aibu kila siku wanafungwa wao

Anonymous said...

safi sana vijana wangu wa vijay kumbe kazi mnaiendeleza kwa nguvu zote

Anonymous said...

eeeh makubwa hayo kwani bard c bado yupo huko india au yeye ajacheza

Anonymous said...

Vijay chama kubwa, endeleeni kutesa mzee Hamad,abhilahi tuko pa-1.
Asante mzee wa mkono wangu tupe vi2.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania