CURRENT NEWS

Thursday, July 26, 2012

MTOTO WA MIAKA 11 ASAFIRI KUTOKA MANCHESTER MPAKA ROME BILA PASSPORT WALA BOARDING PASS

Mtoto wa kiume mwenye miaka 11 ameustua ulimwengu baada ya kuweza kusafiri kutoka Manchester mpaka Rome bila ya kuwa na passport ,pesa wala boarding pass.

Mtoto huyo mwenye jina la Liam Corcoran aliweza kupita vituo vitano vya usalama bila kustukiwa kabisa.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania