CURRENT NEWS

Monday, March 4, 2013

VAZI LA KITENGE NA MITINDO YA NYWELE ZATAWALA

                                     

                                                     MAVAZI YA KITENGE
Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013.

MITINDO YA NYWELE


Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee V.I.P hall, march 3,2013.Picha zimepigwa na Adam H. Mzee pamoja na John Photo.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania