CURRENT NEWS

Saturday, July 19, 2014

HAPPY BIRTHDAY KWA MKURUNGEZI WA MWANAHARAKAKATI MZALENDO MEDIA‏Leo tarehe 19 mwezi wa saba ni siku ya kuzaliwa mdau krantz mwantepele mwanzilishi na  mkurungezi wa  ufundi  mwanaharakati mzalendo media ambao ni wamiliki wa blog tatu mwanaharakati mzalendo blog, harakati180 na 255 trending news   pia ni Mkurungezi wa masoko wa KAJO ITECH  kampuni ya kizalendo inayohusika na it ,printing na event management
Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana nao kila siku katika  ujenzi wa ktaifa katika kuhabarishana na pia kutoa elimu kupitia mitandao ya kijami   
Napenda kuwakaribisha kuendelea mitandao yetu 
Mwanahakati mzalendo blog link www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com
Harakati180   link www.harakati180.blogspot.com
255 trending news .link www.mzalendo89.blogspot.com

Na website www.chochote.co.tz
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania