CURRENT NEWS

Monday, August 31, 2015

SONGEA YAZIZIMA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA MAGUFULI


  • Maelfu  wahudhuria mkutano wake wa Kampeni
  • Asema Serikali yake haitoruhusu mkulimwa kukosa
  • Ataboresha maslahi ya walimu
  • Asisitiza Elimu bure kutoka kidato cha kwanza mpaka cha nne


 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Maji Maji tayari kuhutubia,kuomba kura za Urais, Ubunge na Madiwani kwa wananchi wa Songea mjini.
  Vijana wakifurahia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli mjini Songea.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati, barabara zitaboreshwa ,elimu bure mpaka kidato cha nne, kuongeza maslahi ya walimu pamoja na kuboresha huduma za afya.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCm Dk. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakazi wa Songea mjini ambapo aliwataka wananchi hao kumpa kura nyingi Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli kwenye uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25.
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndugu William Lukuvi akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Maji Maji.
 Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambao Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli alihutubia .
 Injinia Stella Manyanya akiwa ameketi pamoja na Wazee wa Mji wa Songea wakati wa mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Maji Maji.
 Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Songea mjini na kutaka wasihadahike na watu wenye uroho wa madara .
 Jamaa kapiga Magufuli staili kwenye mkutano wa kampeni za CCM uwanja wa Maji Maji.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Peramiho mkoani Ruvuma.
 Wakazi wa Peramiho wakifurahia hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli
 Umati wa wakazi wa Peramiho wakisikiliza hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuliwakati wa mkutano wa kampeni.
 Haya ndio mafiga matatu ya Peramiho.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea ubunge wa Jimbo la Mbinga Ndugu Sixtus Mapunda kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mbinga mjini.
 Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbinga mjini Sixtus Mapunda akihutubia mbele ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufulikwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Mbinga.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbinga.
 Wanachama na Viongozi wa CCM wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni Mbinga.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza wakati
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Mbinga.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigonsera wakati akiwa njiani kuelekea Mbinga mjini.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Kapteni John Komba ,Lituhi.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuliakisali mbele ya jkaburi la Kapteni John Komba.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Lituhi kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa serikali itajenga daraja kwenye mto Luhuhu.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge wa jimbo la Nyasa Injinia Stella Manyanya kitabu cha Ilani ya Uchaguzi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCm uliofanyika Lituhi.
 Mwenyekiti pekee wa Kitongoji kutoka Chadema Ndugu Sixbert almaarufu kama Seaman akitangaza kujiunga na CCM kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufulialifanya kampeni zake.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Lituhi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania