CURRENT NEWS

Monday, May 30, 2016

NAPE AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO MTAMA NA KUFANYA MIKUTANO MIWILI YA HADHARA

 Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungmza na wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua Korosho cha Mtama ambapo wafanyakazi hao walitoa malalamiko mbali mbali ikiwemo kutokuwa na mikataba na vifaa vya kufanyia kazi.
 Mmoja kati ya vijana wanaofanya kazi kwenye kiwanda cha kubangua akielezea matatizo yanayo wakuta kiwandani hapo.
  Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na viongozi wa kijiji cha Rondo Mnaramara baada ya kuwasili tayari kuwahutubia wakazi hao waliojitokeza kwa wingi.
 Sehemu ya wakazi wa kijiji cha Rondo Mnara wakiwa tayari kumsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
  Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipitia moja ya jambo la msingi pamoja na diwani wa kata ya Rondo Mama Halima Mwambe muda mfupi kabla ya kuanza kuhutubia wakazi wa Rondo Mnara.


 Wakazi wa kijiji cha Rondo Mnara wakimsikilza  Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
  Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Rondo Mnara na kuwaambia kuwa kazi yake ya utekelezaji yale alioahidi ndio umeanza rasmi.
  Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauyeakicheza ngoma ya asili ya Wamwela pamoja
 Wakazi wa Chihodya kata ya Chiponda wakishangilia jambo wakati  Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauyealipokuwa akihutubia.
 Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Chihodya ambapo aliwaambia viwanda vitajengwa jimboni Mtama na vitasaidia kutoa ajira za kutosha.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania