CURRENT NEWS

Tuesday, May 31, 2016

RAIS MAGUFULI: WATANZANIA TUWEKE UTAIFA KWANZARais John Magufuli.

Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kuweka maslahi ya Taifa kwanza,amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za utoaji Tuzo  kwa wazalishaji bora viwandani,katika Tuzo Za Rais Kwa Wazalishaji Bora Viwandani 2015.

Sikilize HOTUBA YA RAIS JOHN MAGUFULI HAPA 
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania