CURRENT NEWS

Monday, May 23, 2016

WEMA SEPETU AWEKA REKODI YA KWANZA

 Miss Tanzania 2006 na Muigizaji maarufu wa Filamu nchini Wema Sepetu akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa mobile application yake ambayo itawasaidia wapenzi na mashabiki wake kupata habari sahihi na za uhakika.
 Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya Hartman TradersNdugu Cecil Mhina  akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wema Sepetu Mobile Application.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa uzinduzi wa Wema Sepetu Mobile Application ambapo alimpongeza Wema kwa hatua kubwa aliyofikia ya kuwa msanii wa kwanza wa Filamu nchini kuwa na Mobile App na kuwataka wasanii wengine kuwa wabunifu na kuja na mipango ambayo itawanufaisha zaidi.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye pamoja na Wema Sepetu wakipiga makofi mara baada ya kuzindua Mobile Application ya Wema Sepetu .
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye pamoja na Wema Sepetu wakipiga makofi mara baada ya kuzindua Mobile Application ya Wema Sepetuuliofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu wa Mobile Application Ndugu Haji Yussuf akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wema Sepetu Mobile Application.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania