CURRENT NEWS

Thursday, June 16, 2016

ARSENAL KUFUNGUA MSIMU DHIDI YA LIVERPOOL

Klabu ya Arsenal itafungua msimu ujao wa Ligi Kuu ya Uingereza nyumbani dhidi ya miamba wa Anfield Liverpool baada ya ratiba ya mechi za msimu wa 2016/2017 kutangazwa.
Jose Mourinho akiwa na Manchester United naye atakutana na Pep Guardiola atakayekuwa na Manchester City mara ya kwanza EPL uwanja wa Old Trafford tarehe 10 Septemba.
Image copyrightPA
Mabingwa watetezi Leicester wataanza kutetea taji dhidi ya Hull City.

Mechi za siku ya kwanza

13 Agosti

Arsenal v Liverpool
Bournemouth v Manchester United
Burnley v Swansea City
Chelsea v West Ham United
Crystal Palace v West Bromwich Albion
Everton v Tottenham Hotspur
Hull City v Leicester City
Manchester City v Sunderland
Middlesbrough v Stoke City
Southampton v Watford

Mechi za mwisho:

21 Mei:

Arsenal v Everton
Burnley v West Ham United
Chelsea v Sunderland
Hull City v Tottenham Hotspur
Leicester City v Bournemouth
Liverpool v Middlesbrough
Manchester United v Crystal Palace
Southampton v Stoke City
Swansea City v West Bromwich Albion
Watford v Manchester City
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania