CURRENT NEWS

Tuesday, June 14, 2016

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA KUUNGANA NA WATANZANIA SIKU YA DAMU DUNIANI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI Balozi wa China Nchini Tanzania, Lu Youqing (katikati) akizungumza jambo kabla ya uchanjiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Hospitali ya Muhimbili  Makwaia Makani (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Jopo la madaktari walio ongozana na Balozi huyo wakisikiliza kwa makini wakati balozi alipokua akizungumza jambo 
Baadhi ya Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakisikiliza kwa umakini wakati  Balozi huyo alipokua akizungumza jambo
Wakielekea katika chumba cha Maabara Kuu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili 

 Balozi Lu Youqing akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili  Makwaia Makani 
Muuguzi mwandamizi Daraja la Pili Elizabeth Alen akiangalia wingi wa Damu wakati Balozi huyo alipofika kuungana na Watanzania kuadhimisha siku ya Damu, ambapo Kitaifa Maadhimisho hayo yamefanyika mjini Dodoma  Lu Youqing akipata chai baada ya kuchangia Damu 


Wauguzi wakiwa katika chumba cha kutolea damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili 
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Shirikishi Dr. Praxeda Ogweyo (kulia) akizungumza na  Balozi, Lu Youqing , wakwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kiwete na watatu kulia ni  Kaimu Mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili  Makwaia Makani 
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, MHN,  Makwaia Makani (kulia), akimkabidhi cheti cha shukrani Balozi. Lu Youqing baada ya kutoa damu
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania