CURRENT NEWS

Saturday, June 4, 2016

MHE. JANUARY Y. MAKAMBA (MB), ASHIRIKI KUPANDA MITI AINA MIKOKO KATIKA FUKWE ZA BWENI DSM.WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA)


Katika kuelekea  siku ya mazingira duniani,Leo tarehe 4/6/2016 Mhe.January Makamba ameitumia siku yake kushirikiana na wananchi wa Kata na mtaa wa bweni wilayani Kinondoni,jijini dar es salaam. kupanda miti aina ya mikoko ili kuhifadhi na kurinda fukwe za bweni katika habari ya hindi.

Mhe.January Makamba akisalimiana na viongozi wa mtaa wa bweni.
 

Wananchi na Mh.waziri wikielekea eneo la tukio

Mhe.Waziri akipanda  miti aina ya mikoko

Mhe.Waziri pamoja na wanachi wakiondoka eneo la tukio 

Mhe. Waziri January Makamba akizungumza na Wanafunzi wa shule ya msingi juu ya faida za kutunza mazingira kwa kizazi cha sasa nacha baadae.Mhe.January Makamba akishiriki katika kufungua michezo shuleni Bweni kama sehemu ya kuazimisha siku ya mazingira


Mhe.January Makamba akizungumza na kikundi cha wamama wanao jitolea kuhifadhi nakurinda mazingira ya fukwe ya bweni.
Picha zote zimepigwa na IMANI SELEMANI NSAMILABOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania