CURRENT NEWS

Thursday, June 2, 2016

RAIS MSTAAFU JK:MZEE KAZI ULIYONIPA NISAIDIE YALE NILIYOANDIKA KAZI ITAKUA RAISI.

Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, na Rais Mstaafu Dr.Jakaya Kikwete amesema kazi iliyopo ni kubwa kukarabati chuo hicho kwani kinahitaji fedha za kutosha ili kuweka mazingira mazuri ya chuoni hapo.

Amesema hayo katika hotuba yake katika hafla ya kuweka  jiwe  la msingi la ujenzi wa Maktaba ya kisasa chuoni hapo.
msikilize akizungumza,

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania