CURRENT NEWS

Friday, June 3, 2016

UJUMBE WA 102.5 LAKE FM MWANZA WATEMBELEA KITUO CHA MAKUMBUSHO YA KISUKUMA BUJORA.


Richard Raphael Buluma ambae ni Mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho ya Utamaduni wa Kisukuma cha Bujora, Kisema wilaya ya Magu mkoani Mwanza, akiwa na logo ya 102.5 Lake Fm Mwanza. 

Hii ni baada ya mazungumzo baina yake na ujumbe wa 102.5 Lake Fm katika kituo hicho ambao ulilenga kutengeneza mahusiano ushirikiano mwema baina ya pande zote mbili pamoja na kuzungumzia maonyesho ya ngoma za Kisukuma ya Bulabo ambayo yanatarajia kufanyika kuanzia june 19 hadi june 26 mwaka huu katika uwanja wa mpira Kisesa.
Imeandaliwa na BMG

Kulia ni Richard Raphael Buluma ambae ni Mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho ya Utamaduni wa Kisukuma cha Bujora, akiwa pamoja na Frank Missana (kushoto) kutoka 102.5 Lake Fm Mwanza/ Radio ya Wananzengo.
Kulia ni Richard Raphael Buluma ambae ni Mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho ya Utamaduni wa Kisukuma cha Bujora, akiwa pamoja na Elias Mwenda (kushoto) kutoka 102.5 Lake Fm Mwanza/ Radio ya Wananzengo.
Kulia ni Richard Raphael Buluma ambae ni Mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho ya Utamaduni wa Kisukuma cha Bujora, akiwa pamoja na Amos Gomba kutoka 102.5 Lake Fm Mwanza/ Radio ya Wananzengo.
Kulia ni Richard Raphael Buluma ambae ni Mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho ya Utamaduni wa Kisukuma cha Bujora, akiwa pamoja na George Binagi-GB Pazzo kutoka 102.5 Lake Fm Mwanza/ Radio ya Wananzengo & BMG.
Mwananzengo Pendo Edward Bulole kutoka Bujora akishow love na 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha ya Rock City #Radio ya Wananzengo
Mwananzengo Yasinta Salum kutoka Bujora akiwa na logo ya 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha ya Rock City #Radio ya Wananzengo
Wananzengo kutoka Shule ya Msingi Kisesa wakiwa na logo za 102.5 Lake Fm baada ya kukutwa wakipata raha ya kucheza bao walipotembelea kituo cha Bujora katika ziara ya kishule.
Frank Missana kutoka 102.5 Lake Mwanza akiwa katika fotooo kwenye kiti cha mtemi wa Kisukuma.
Ghala ambalo lilikuwa likitumika na Wananzengo waWasukuma kuhifadhi mazao
Ghala ambalo lilikuwa likitumika na Wananzengo waWasukuma kuhifadhi kuku.
Ngoma za asili
Nyumba yenye kifhadhi za machifu wa Kisukuma iliyojengwa kwa mfano wa kiti (kigoda) cha chifu.
Kumbukumbu ya nyumba iliyokuwa ikitumika na waganga wa tiba asilia za kisukuma.
Ujumbe wa 102.5 Lake Fm ukiwa katika mahojiano na mhifadhi wa Kituo cha Makumbusho Bujora.
Amos Gomba kutoka 102.5 Lake Fm akiwa katika picha. Nyuma yake ni picha inayoonyesha gamba la nyoka mkubwa aliekuwa akitumika katika kucheza ngoma za kisukuma.
Frank Missana kutoka 102.5 Lake Mwanza akiwa kwenye kiti cha mtemi wa Kisukuma.
George Binagi-GB Pazzo @102.5 Lake Fm & BMG akiwa katika Makumbusho Bujora. Hakika tembelea Bujora ujifunze masuala mbalimbali kuhusu utamaduni wa kabila la Wasukuma.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania