CURRENT NEWS

Tuesday, July 26, 2016

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAADHIMISHO KUMBUKUMBU YA MASHUJAA MJINI DODOMA

shuj2
Msafara wa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa tayari kwa maadhimisho hayo yaliyofanyika  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa  mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 (PICHA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA NA IKULU)
shuj4
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mashujaa tayari kwa kuongoza maadhimisho hayo yaliyofanyika  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa  mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
shuj2
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiielekea kwenye mnara wa kumbukumbu tayari kwa kuongoza maadhimisho ya mashujaa  katika Mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa  mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
shuj8
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya kuweka Sime na ngao  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
shuj6
Baadhi ya askari wa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa vimejiweka tayari kwa ajili ya maadhimisho ya kumbukumbu  ya mashujaa iliyoadhimishwa leo kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma.
shuj7
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akielekea kwenye mnara tayari kwa  kuweka Sime na ngao  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
shuj1
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akikabidhiwa  Sime ili kuweka  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 (P.T)
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania