CURRENT NEWS

Wednesday, August 3, 2016

DARAJA LAKATIKA INDIA KUFUATIWA MAFURIKO

watu 22 wahofiwa kupoteza maisha kufutiwa kuanguka kwa daraja nchini India kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mto Savitri,Naibu kamanda wa polisi Rakesh Ranjan amesema daraja hilo lilijengwa kipindi cha ukoloni.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania