CURRENT NEWS

Friday, August 5, 2016

⁠⁠⁠NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI MHE. SELEMANI JAFO AFANYA ZIARA KABAMBE KWA SIKU MOJA 04/08/2016


 Atembelea shule ya msingi JICA iliyopo Gongolamboto Dar es salaam kukagua madawati na kuongea na walimu. Alitembelea wilaya ya kisarawe kukabidhi madawati 537, aliongea na walimu na wanafunzi na kukagua ujenzi wa nyumba ya walimu na vyoo vya wanafunzi pamoja na kukagua ujenzi wa barabara inayojengwa na mfuko wa Jimbo. Baada ya kumaliza mkoa wa Pwani alifanikiwa kufika mkoa wa Morogoro na kukagua ushiriki wa Halmashauri mbalimbali katika sherehe za nanenane ktk viwanja vya nanenane Morogoro. Hakika "HAPA KAZI TU"

Anayekabidhiwa dawati ni  mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibasila
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania