CURRENT NEWS

Tuesday, August 2, 2016

RIDHIWANI:KUSEMWA SANA KUMENIFUNDISHA MENGI KATIKA MAISHAMbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete amesema kuwa  kusemwa sana kumemfanya ajue ni namna gani anatakiwa kuishi kwa watanzania wanapenda kusema na kutaka ufanye wasichojua.msikilize katika mahojiano katika kipindi cha Hello Tz Uhuru Fm.

Sikiliza mahojiano ya Ridhiwani katika kipindi cha Hello Tz
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania