CURRENT NEWS

Monday, August 8, 2016

SERIKALI YA ISRAEL KUPAMBANA NA WANAOIPINGA NCHI

Serikali ya Israel imesema itaanzisha kamati itakayoratibu masuala yanayohusiana na watu wanaopinga Israel nje ya nchi hiyo.

Kutakuwepo pia jitihada za kuwafukuza nchini wanaharakati wote walioingia. Matarajio makubwa yanaangazia vikundi vya waandamanaji wa kipalestina wanaotetea waliowekwa vizuizini nchini humo.
Maandamano hayo ya wapalestina yaliyolenga kutafuta haki, uhuru na usawa. lakini Israel inaamini kuwa makundi hayo yanalenga kuvuruga nchi.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania