CURRENT NEWS

Monday, September 12, 2016

DK.SHEIN ATEMBELEA GHALA LA KARAFUU MKOANI PEMBA

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo,
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Bakari Haji Bakari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo.
3
Baadhi ya Karafuu zilizonunuliwa kwa wananchi jumla ya tani 183 zikiwa zimehifadhiwa katika ghala la ZSTC Mkoani ambazo tayari kwa mauzo,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) jana  alitembelea ghala hilo
4
Wiziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali (kushoto) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo,(kulia) Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman
5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimuliza suala kwa Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi hiyo (katikati) Wiziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali,
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mwenye kipaza sauti) alipokuwa akizungumza na Wananchi na wafanya bishara wa zao la karafuu wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana (kushoto)  Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman,
[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania