CURRENT NEWS

Friday, September 2, 2016

IDARA YA HABARI -MAELEZO YAKABIDHIWA TUZO YA UTAMBUZI WA KUTANGAZA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAKUMBUSHO NA HISTORIA NCHINI.

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Prof. Audax Mabulla (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya habari-MAELEZO Bw. Hasaan Abbasi tuzo ya ushiriki wa idara hiyo katika kisaidia kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Hassan Abbasi akiangalia tuzo aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho Prof. Audax Mabulla(kushoto) ya kutambua ushiriki wa idara hiyo katika kisaidia kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania