CURRENT NEWS

Wednesday, September 7, 2016

MAKAMU WA RAIS MH. MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIA WANANCHI NANGURUKURU AKIELEKEA MTWARA

mam001
Makamu wa Rais  Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na  wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya ya Kilwa waliojitokeza kwa wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
mam01
Makamu wa Rais  Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya ya Kilwa waliojitokeza kwa wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
mam1
Makamu wa Rais  Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasalimia  wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya ya Kilwa waliojitokeza kwa wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara
mam0001
Baadhi ya wananchi aliojitokeza kumlaki Makamu wa Rais Mama Samia Hassan Suluhu wakati akipita kwenye mji wa Nangurukuru wilayani Kilwa mkoa wa Lindi.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania