CURRENT NEWS

Sunday, September 4, 2016

MKUTANO WA KUWASHUKURU WANANCHI

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli   wakati   alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja kuzungumza na wananchi hao katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja
 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati wa alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3) 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3) (katikati)Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli .[Picha na Ikulu.]

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania