CURRENT NEWS

Tuesday, September 6, 2016

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TAARIFA YA KIZUSHI ILIYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMIIOfisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo ni ya uzushi na uongo haina ukweli wowote.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania