CURRENT NEWS

Friday, September 30, 2016

Prof.TIBAIJUKA ATUNUKIWA TUZO YA MAENDELEO ENDELEVU NA UMOJA WA MATAIFA

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN - Habitat) ambaye pia ni MBUNGE wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka akielezea tuzo aliyopewa na Umoja wa Mataifa ya Maendeleo Endelevu mbele ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msaidizi wa Tibaijuka, Bwana Mussa Ally.
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN - Habitat) ambaye pia ni MBUNGE wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka akielezea tuzo aliyopewa na Umoja wa Mataifa ya Maendeleo Endelevu mbele ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, MAELEZO Vicent Tiganya na  Msaidizi wa Profesa Tibaijuka, Bwana  Mussa Ally(kulia)
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN - Habitat) ambaye pia ni Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka akionesha tuzo aliyotunukiwa na Umoja wa Mataifa(UN) ya Maendeleo Endelevu ya Mwana Mfalme Khalifa Bin Salman Al Khalifa aliyotunukiwa hivi karibuni New York Marekani wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari, MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania