CURRENT NEWS

Friday, September 2, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA PEMBA KATIKA UWANJA WA GOMBANI YA KALE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar  Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar  Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
Picha na Ikulu
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania