CURRENT NEWS

Thursday, September 8, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AKUTANA NA WIZARA MBALI MBALI

 Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto ukimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja leo katika mkutano kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
 Baadhi ya  Viongozi wa  Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo  kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020
  Wasaidi wa Rais wakifuatilia kwa makini michango mbali mbali iliyotolewa katika mkutano wa siku moja wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo kwa   Uongozi wa Wizara ya Wizara ya  Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,  (haupo pichani ) kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
 Baadhi ya  Viongozi wa  Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo  kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020
 Katibu Mkuu wa  Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,Bi.Fatma Gharibu Bilali akisoma baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja uliofanyika leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Bi.Mauwa Makame Rajab na Mshauri wa Rais Uchumi Mzee Abrahman Mwinyi Jumbe
 Mkurugenzi wa Ajira katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Ameir Ali Ameir alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu  Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii, ​Utamaduni na Michezo kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii, ​Utamaduni na Michezo 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar akisoama baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Mkurugenzi wa ZBC Tv Ng,Aiman Duwe akitoa ufafanuzi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo  uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020
 Mshauri wa Rais Utamaduni Mhe,Chimbeni Kheir (kushoto) akichangia wakati wa Mkutano wa siku moja wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo  uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,uliofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Chumu Kombo Khamis
Baadhi ya  Viongozi wa Idara za Wizara ya 
​H​
 abari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo  kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji   kuhusu  utekelezaji waProgramu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika  Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
 Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji   kuhusu utekelezaji wa Programu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Picha na IKULU
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania