CURRENT NEWS

Friday, September 16, 2016

WASANII NA VIONGOZI WA WCB WAALIKWA NYUMBANI KWA RAIS MTAAFU JAKAYA KIKWETE


Jumatano ya Sept 14, 2016 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete aliwaalika wasanii na viongozi kutoka kwenye lebel ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz nyumbani kwake kula chakula cha mchana na kuzungumza kuhusu kazi za muziki na maisha.
Rais mstaafu JK, mwimbaji Harmonize na mama Salma Kikwete
Rich Mavoko na Rais mstaafu JK
Diamond Platnumz na JK
Rayvanny na JK

Meneja Sallam SK kwenye picha ya pamoja
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania