CURRENT NEWS

Friday, September 16, 2016

WAZIRI NAPE ATOA WITO KWA WADAU KUTOA MAONI ILI KUUBORESHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo alitoa wito kwa wadau mbalimbali katika sekta ya habari kutoa maoni ili kuuboresha
Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016(The Media Service Bill,
2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma, Kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Hassan
Abbas.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo
Mhe. Nape Nauye (MB) katika mkutano aliufanya na kutoa wito kwa wadau kuboresha
Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016(The Media Service Bill,
2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma.
 
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania