CURRENT NEWS

Monday, October 3, 2016

BALOZI WA IRELAND AMTEMBELEA WAZIRI LUKUVI


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na Balozi wa Ireland Paul Sherlock,  ofisini kwake alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo kuhusu Sekta ya Ardhi. 

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania