CURRENT NEWS

Saturday, October 22, 2016

BENKI YA NMB MLIMANI CITY YATOA SEMINA FUPI KWA WATEJA WAKE KUHUSU HUDUMA WAZITOAZO


Wafanyakazi wa Benki ya NMB Tawi la Mlimani City wakijitambulisha kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
 Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya Mlimani City, Elizabeth Marsham, akizungumza kwenye semina hiyo iliyofanyika Mgahawa wa Scaurp Mwenge Savey jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Mlimani City wakiwa kwenye semina hiyo.
 Meneja Uhusiano Kitengo cha Biashara wa benki hiyo Makao Makuu, Deusdedit Kipeleka (kulia), akizungumza kwenye semina hiyo.
 Ofisa Mkopo ya Wafanyakazi wa benki hiyo, Monica Ntullo akitoa mada katika semina hiyo.
 wateja wa benki hiyo wakiwa kwenye semina hiyo.
     Wafanyakazi wa benki hiyo tawi la Mlima City wakiwa kwenye semina hiyo.
Ofisa Bidhaa za Wateja Binafsi kutoka Makao Makuu ya Benki hiyo, Godfrey Nyamhanga akitoa neno kwenye semina hiyo.


 wateja wa benki hiyo wakiwa kwenye semina.
 Wateja hao.
 wateja wakipiga makofi.
 Sala kabla ya kuanza semina hiyo.
 Wateja wakipitia vipeperushi vya benki hiyo.
 Ofisa wa Kanda, Kingsley Chilambo akitoa mada.
 Maofisa wa benki hiyo, Asha Mayuva na Monica Ntullo (kushoto), wakibadilishana mawazo.
 semina ikiendelea.
A
 Lilian Malekia kutoka makao makuu akitoa mada.
 Adam Mbaga kutoka makao makuu NMB, akitoa mada.
 Faynesss Sichalwe kutoka ofisi ya Kanda ya NMB, akichangia kwenye semina hiyo.
 Polyne Mugabe kutoka ofisi ya Kanda akichangia.
 wateja wakifungua akaunti ya chapuchapu.
wateja wakiwa kwenye semina hiyo.

.Asha Mayuva kutoka NMB Tawi la Mlimani City akitoa mada kuhusu akaunti za watoto.


Na Dotto Mwaibale

BENKI ya NMB Tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo limekutana na wateja wake kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kujua changamoto zao mbalimbali katika semina fupi

Pamoja na hayo wateja wa benki hiyo waliopata fursa ya kuhudhuria mkutano huo uliofanyika katika mgahawa wa Scaurp uliopo Savey Mwenge jijini Dar es Salaam.

Katika semina hiyo wateja wa benki hiyo waliweza kueleza kuhusu akaunti mbalimbali za benki hiyo ambapo walipata fursa ya kujua mambo mbalimbali ya benki hiyo ambapo baadhi yao waliweza kufungua akaunti ya chapuchapu.


 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania