CURRENT NEWS

Monday, October 31, 2016

RAIS MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA

Rais Dkt John Magufuli akipokewa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyetta,alipopokelewa Ikulu jijini Nairobi Nchini Kenya ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi ya siku mbili.


Rais Dkt John Magufuli akifurahi jambo na mwenye wake Rais Uhuru Kenyatta wakiwa Ikulu Nairobi.


Rais Dkt John Magufuli akikagua gwaride la jeshi la Kenya Ikulu hii leo. 

Rais Dkt John Magufuli akisalimiana na Naibu  Rais wa Kenya William Ruto.
Rais Dkt John Magufuli kushoto akizungumza Ikulu ya Nairobi hii leo akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru  Kenyatta.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania