CURRENT NEWS

Friday, October 7, 2016

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI KATIKA MAAFALI YA SHULE YA MSINGI KIBIKI

Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ashiriki katika maafali ya shule ya msingi Kibiki nakuelezea  jinsi anavyokabiliana na changamoto za jimbo hilo katika kipindi chake na jinsi alivyojipanga kutatua kero ya umeme na maji katika kitongoji cha Bwilingu na Chalinze.
Mbunge wa Chalinze akijadili  jambo na Mwenyekiti wa Ccm Kata ya Bwilingu katika mkutano wa wananchi wakati wa  maafali ya darasa la saba katika shule ya msingi kibiki ambapo wanafunzi 76 wamehitimu.
Wahitimu wa shule ya msingi kibiki wakicheza katika maafali yao.
Baadhi ya wahitimu na wananchi wakifatilia kwa makini matukio katika maafali hayo.


Wahitimu wa shule ya msingi kibiki wakicheza wakati wa maafali hayo

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania