CURRENT NEWS

Tuesday, November 8, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA


Mwenyekiti wa Bunge , Mussa Azzan Zungu akiahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka baada ya kuahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiteta na Mwanansheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Wabunge wakizungumza baada ya bunge kuahirishwa mjini Dodoma Novemba 7, 2016 kufuatia kifo cha Spika Mstaafu,Samuel Sitta. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, Mbunge wa Viti Malum Felista Bura, Mbunge wa Viti Maalum, Shally Josepha Raymond, Mbunge wa Musoma Mjini Mathayo Manyinyi, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Tekinolojia, Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Busanda, Lolesia `Bukwimba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt Susan Kolimba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Massauni  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim majaliwa akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju  katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia wambura akifuatilia   mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju(kulia) Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako(katikati) na Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo wakati wa mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Baadhi ya mawaziri na wabunge wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania