CURRENT NEWS

Sunday, November 27, 2016

NAIBU WAZIRI DKT.POSSI ATEMBELEA SHULE ZINAZOHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUM RUVUMA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari ya Songea Boys wakati wa ziara yake shuleni hapo ili kuona hali halisi ya wanafunzi wenye mahitaji maalum Novemba 26, 2016 Mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza jambo na baadhi ya Watendaji wa Serikali katika Ofisi ya Shule ya Sekondari ya Songea Boys alipotembelea kwa lengo la kuangalia vituo na shule zinazohudumia watu wenye ulemavua Wilayani Songea mkoa wa Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na baadhi ya wanafunzi ya shule ya Sekondari ya Songea Boys wakati wa ziara yake shuleni hapo Novemba 26, 2016.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa tano kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na watendaji wa serikali mara baada ya kumaliza ziara yake katika shule ya Songea Boys Mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akikabidhi vifaa saidizi (viti mwendo) kwa Mwalimu Mkuu Bw.John Sweka wa Shule ya Msingi ya Luhira Wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma.
Baadhi ya Watendaji wa Serikali wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi alipokuwa akizungumza nao katika ziara yake shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya Luhira Songea. PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania