![]() |
Mhe:Naibu Waziri Antony Mavunde Mapema ya leo akiongoza Jogging ya KM 8 Iliyo anzia Mlimani City na Kuishia katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam leo |
![]() |
Vijana wa Club ya Jogging Temeke Wakiimba Nyimbo za Hamasa |
![]() |
Jogging ikiendelea |
![]() |
Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi Vya Jogging Club Dar es salaam Charles P Malim Akisoma Risala Kwa Mgeni Rasmi |
![]() |
Naibu Waziri Ofisi Ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mhe:Antony Mavunde akihutubia katika Tamasha Hilo la Amani Jogging Katika Viwanja Vya Leaders Club |
Post a Comment