CURRENT NEWS

Wednesday, November 30, 2016

PROF. MBARAWA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TURKMENISTAN JIJINI ASHGABATWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akijadiliana jambo  na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Turkmenistan Bw. B. Mariyew jijini Ashgabat. Viongozi hao wamekubaliana kushirkiana katika sekta ya gei na ujenzi wa Miundombinu.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania