CURRENT NEWS

Monday, November 21, 2016

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO AZINDUA MAGARI MAPYA YA F12 PLUS KUTOKA KAMPOUNI YA YUTONG

benb1


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni ya Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
benb3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiakta utepe kuashiria uzinduzi wa  magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
benb4
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa kampuni ya Yutong mara baada ya uzinduzi wa  magari mapya ya F12 kutoka kampuni ya hiyo katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikali WHUSM
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania