CURRENT NEWS

Sunday, December 4, 2016

MWALIMU AFARIKI KATIKA MKUTANO WA CHAMA CHAO CHA CWT JIJINI DAR ES SALAAM

 Marehemu Mwalimu Tuhobwike Mwinuka 
Mwakatumbula enzi za uhai wake.

 Jeneza lenye mwili wa mwalimu Tuhobwike Mwinuka Mwakatumbula likiwa ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Wazo Hili Dar es Salaam leo asubuhi wakati wa ibada ya kuuaga mwili huo.
 Mume wa marehemu, Samuel Mwakatumbula akibusu mwili wa marehemu mke wake wakati wa ibada hiyo ya kumuaga mpendwa wake. Kushoto ni mtoto wake Kelvin.
 Mume wa marehemu, Samuel Mwakatumbula akimuaga mpendwa wake. 
Binamu wa marehemu, Nobert Nselu (kulia) akimsaidia rafiki wa karibu wa marehemu mama Malugu wakati mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake.
 Rafiki wa marehemu mama Malugu (katikati) akisaidiwa.
 Waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa marehemu 
Wazo Hill.

 Ni huzuni kubwa 
 Wakina mama wakiwa na maua wakati wakisubiri mwili wa marehemu kuingizwa ndani.
 Geneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa nyumbani kwake. 

 Mume wa marehemu Samuel Mwakatumbula akimuaga mke wake
 Mtoto mkubwa wa marehemu Nico Mwakatumbula (katikati), akisaidiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mama yake.
 Waombolezaji wakiingiza jeneza lenye mwili wa marehemu katika Kanisa la KKKT Usharika wa Wazo Hill.
 Mwili ukiwa kanisani.
 Mume wa marehemu akiwa na watoto wake. Kutoka kulia ni Gloria, Kelvin na Nico.
 Wanafamilia wakiwa katika ibada hiyo ya kumuaga mpendwa wao.
 Waumini wa kanisa hilo wakiwa kwenye ibada hiyo.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania