CURRENT NEWS

Friday, December 9, 2016

RIDHIWANI KIKWETE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete December 8,2016 amafanya ziara ya kushitukiza katika vijiji vya jimbo lake kukagua Miradi ya kimaendeo ambayo inafanyika katika Jimbo lake kuangalia utekelezaji wa miradi hiyo, Katika kijiji cha Kwakonje Shule ya msingi  kulikuwa na changamoto kubwa ya vyumba vya Madarasa lakini tayari ujenzi umeanza katika shule hiyo pamoja na Shule ya Msingi Kibindu, Mbali na Shule katika vijiji hivi changamoto nyingine kubwa ni Maji pamoja na Barabara lakini kupitia Mh Mbunge Ridhiwani tayari wamerekebisha barabara ya kutoka  Kwaruhombo kwenda kwa Mduma ambayo ni KM 8 iliyokuwa kero kubwa na wamechimba visima kwa msaada wa waturuki katika kijiji cha Kwamsanje lakini pia kutokana na mvua kutonyesha vizuri mwaka jana katika vijiji hivyo kuna changamoto ya uhaba wa chakula lakini kupitia ofisi ya  mbunge ziliombwa  tan 1200 katika ofisi ya Waziri Mkuu maafa na zikapatikana tan 200 kwa awamu ya kwanza lakini sasa zimepatikana tan 400 na chakula hicho kitagawiwa,
Mh Ridhiwani akizungumza na wanakijiji wa Kibindu katika mkutano baada ya kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.
Mh Ridhiwani akifungua mani katika kisima kilichojengwa kwa msaada wa watu wa Uturuki kupitia Ofisi ya Mbunge katika kijiji cha Kwamsanje baada ya kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.
Kisima kilichojengwa kwa msaada wa Waturuki kupitia Ofisi ya Mbunge kuondoa adha ya kero ya mani iliyokuwa ikiwakabiri wanakijiji wa Kwamsanje kwa muda mrefu.
Mh Ridhiwani akizungumza na watoto wakijiji cha Kwamsanje baada ya kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.
Mh Ridhiwani akishirikiana na mwenyekiti wa kijiji cha Kwamsanje kufungua maji kwatika kisima kilichojengwa na watu wa Uturuki kupitia Ofisi ya Mbunge baada ya kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.
Mh Ridhiwani Kikwete akiwaunga mono wafanya biashara  ya Machungwa katika kijiji cha Kibindu  alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akiwaunga mono wafanya biashara  ya Machungwa katika kijiji cha Kibindu  alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akiangalia maendeleo ya vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Kwakonje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete na Diwani wa Kata ya Kibindu Mh Mkufya wakiangalia maendeleo ya vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Kwakonje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Kwakonje maendeleo alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akipata maelekezo kuhusu ujenzi wa vyumba vya Madarasa na Vyoo katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akipata maelekezo kutoka kwe Diwani wa Kata ya Kibindu Mkufya kuhusu ujenzi wa vyumba vya Madarasa na Vyoo katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akiwa katika Madawati ambayo yako nje kutokana na uhaba wa vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akipata Kahawa na Wazee wa kijiji cha Kibindu alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
Mh Ridhiwani Kikwete akiagana na baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Kibindu baada ya mkutano wa hadhara alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.

Mh Ridhiwani Kikwete akizungumza na wanakijiji wa Kwamsanje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze
Mh Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika kijiji cha Kwamsanje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania