CURRENT NEWS

Sunday, December 11, 2016

RIDHIWANI:CHALINZE KUJENGWA KIWANJA CHA KISASA CHA MICHEZO

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akizungumza na Balozi Yong juu ya mipango ya maendeleo ya michezo katika Halmashauri ya Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiangalia kwa makini mipaka ya uwanja wa michezo 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na wanachi waliojitokeza kumpokea alipokuwa akiingia viwanja vya Mwenge Msoga 

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akitoa maelezo kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete juu ya eneo ambalo limepangwa kujengwa viwanja hivyo vya michezo, aliyesimama pembeni mwa balozi Yong ni Injinia Yang 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akifunga kiatu tayari kwa kazi ya kukagua eneo kabla ya ujio wa wageni toka serikali ya China 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiangalia moja ya jiwe la mpaka kwenye uwanja huo
Ukaguzi wa eneo la viwanja ukiendelea, wa kwanza kushoto mwa Mbunge Kikwete ni Diwani wa kata ya Msoga na Afisa Tarafa 

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akitoa neno la shukrani kwa serikali ya China kwa msaada mkubwa na kukubali kwao kuwasaidia ujenzi wa Viwanja vya michezo

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania