CURRENT NEWS

Wednesday, December 21, 2016

UCHAFU UVYOONEKANA NJEE YA CHUO CHA BIASHARA DODOMA

Pamoja na  eneo  hili ni la  wasomi na  chuo  cha elimu na  biashara  Dodoma  na  kipo jirani na Bunge la jamhuri ya  muungano wa Tanzania  ila nje ya  chuo  hiki  kuna  uchafu  huu  uliotelekezwa hapo kwa muda  sasa  pasipo  kutolewa hali ambayo ni hatari kwa afya  za wanafunzi  chuoni hapo ni taswira  mbaya  kwa chuo  hicho
Mmoja kati ya  wageni  wa mji  wa Dodoma akionyesha kwa  kidole uchafu   uliohifadhiwa nje ya chuo cha elimu na biashara (CBE) mjini Dodoma  chuo  ambacho kipo  jirani na majengo  ya bunge  hii ni aibu  kubwa kwa chuo kuwa na uchafu  kiasi hiki (picha na MatukiodaimaBlog )
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania