CURRENT NEWS

Friday, December 16, 2016

WAZIRI JENISTA AFANYA ZIARA MKOA WA PWANI

Soko la Magomeni ambalo limejengwa katika Wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) uliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu .

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akipitia ripoti ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kushoto kwa waziri ni Mbunge wa bagamoyo Mhe.Shukuru Kawambwa,Mbunge wa Chalinze Mhe.Riziwani Kikwete na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bw.Majid Hemed Mwanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akiangalia moja ya vyumba vilivyopo katika soko la Magomeni lililopo katika miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kulia kwa waziri mwenye miwani ni Mratibu wa Mradi huo Bw.Walter Swai.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akikagua ubora wa milango katika soko la Magomeni lililojengwa katika wilaya ya bagamoyo kata ya magomeni kupitia mradi miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akizungumza na wakazi wa kiwangwa,Chalinze wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama alipotembelea mradi wa barabara unaotekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na wananchi wa kiwangwa,Chalinze wakati alipotembelea miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete wakifuatilia kwa makini hoja mbalimbali za wananchi wa kiwangwa,Chalinze wakati waziri uyo alipotembelea miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akielezea mradi wa barabara ya Kiwangwa kwenda kijiji cha Mambohelo/Wami kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu  Jenista Mhagama,na wa kwanza toka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Alhaj Majid MwangaMbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwatambulisha madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa Waziri Muhagama kiwangwa , Waliosimama upande wa kulia mbele ni Mwenyekiti wa Halmashauri Bw.Zikatimu, Mkurugenzi  Bwana Lukoa, Diwani kata ya kiwangwa Bw. Malota na Diwani Viti Maalum Bi. Mwene
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu  Jenista Mhagama amefanya ziara katika mkoa wa Pwani   na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Kiwangwa -Wami yenye urefu wa km16.

Mradio huo unaofadhiliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu ikiwa ni sehemu ya miradi mitatu mikubwa inayofanyika Wilayani Bagamoyo.

Akizungumza mara baada kukagua mradi huo Waziri Jenista amesema kuwa nia ya serikali ya awamu ya tano ni kuhakikisha  inaweka miundo mbinu ili kusaidia wananchi kupata barabara ili waitumie kusafirisha mazao kirahisi.


"Mradi huu umelenga kuwawezesha wananchi wanaolima mpunga na hasa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji kufikisha bidhaa zao mapema masokoni." Waziri alisisitiza.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania