CURRENT NEWS

Friday, January 6, 2017

KINANA AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR.


Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, Januari 5, 2017.
Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CCMAbdulrahman Kinana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo wakiwasalimia wananchi wakati Kinana akimtambulisha Mpogolo, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar.
Wananchi wakipokea kwa furaha salama za Kinaa na Mpogolo walipowasalimia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akisalimia wananchi baada a kutambulishwa na Kinana kwenyeuzinduzi wa kampeni hizo mjini Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar, Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo  mjini Zanzibar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Ali Seif Idi, akizungumza na wananchi baada ya kukaribishwa a Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo,jibola Dimani Zanzibar.
Katibu wa NEC,Itkadina ueneziHumphrey Polepole akisalimia wananchi baada ya kukariishwa a Kinana kwenyeuzinduzi wa kampenihizo, jimbola Dmani Zanzibar
Polepole akionyesha furaha yake wakati akiwaslaimiawananchi baada ya kukaribishwa na Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo katika jimbo la Dimani, Zanzibar.
Plepole akizungumza baada ya kukaribishwa na Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo jimbo laDimani .
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu, Ngemela Lubinga, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar.
Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif Khatib akizungumza na wananchi alipokaribishwana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar.
Wananchi wakiwa na mabango kuonyesha walivyojitokeza katika uzinduzi wa kampeni hizo (PICHA NA BASHIR NKOROMO). KUONA PICHA ZAIDI NA HABARI, TAFADHALI/>BOFYA HAPA 
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania