CURRENT NEWS

Wednesday, February 22, 2017

SAMIA : USHIRIKIANO UDUMISHWE KATIKA MATUMIZI YA MAJI YA BONDE LA MTO NILE

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es salaam  walioshiriki matembezi na kuimba nyimbo maalum wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya  Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam alipotembelea banda la DAWASCO na kupewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Cyprian Luhemeja  wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya  Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya  Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
  Wajumbe na wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya 11 ya Siku ya  Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na meza kuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya  Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania