CURRENT NEWS

Thursday, March 2, 2017

DINNER PARTY YA ALLY KIBA ILIVYOFANA DOUBLE TREE HOTEL DAR ESS SALAAM

 Ally Kiba akiwa anazungumza  na wadau walifika katika hafla ya chakula cha jioni na wasani wenzie na Waandishi wa habari
 Msanii Omy Dimpoz, Billnas na Peti Man wakuache wakijadili jambo kwenye hafla ya chakula cha jioni cha Ally Kiba
 Rafiki wa Karibu wa Ally Kiba , Jokate Mwengelo  akijadili jambo na jirani yake katika hafla hiyo
 Jokate akiwa katika picha ya pozi wakati anaingia katika hafla hiyo.
 Omy Dimpoz, Idrisa Sultan na Kassim Mganga wakifuraia jambo wakati wa hafla hiyo
Ally Kiba akisalimiana na Mwana Fa wakati wa hafla hiyo
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania