CURRENT NEWS

Sunday, March 12, 2017

KUNDI LA TOT NA AMSHA AMSHA YA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA

1
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dk. Tulia Ackson akizungumza na wajumbe wenzake kutoka mkoa wa Mbeya kulia ni Sauli Amon na katikati ni Mwakipesile wakati alipowasili kwenye ukumbi wa CCM Convetion Centre mjini ambako Mkutano Mkuu wa CCM unafanyika kupitisha mabadiliko makubwa ya katiba ya CCM maamuzi makubwa ya kuwafukuza uanachama baadhi ya waliokuwa wanachama wa chama Mapinduzi na baaadhi kupewa onyo kali.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE-DODOMA)
2
Baadhi ya mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakiwa katika mkutano huo.
3 4 5
Halima Dendegu Mbjumbe kutoka mkoa wa Mtwara akiwa na wajumbe wenzake.
6
Parseko Kone kulia na wajumbe wenzake kutoka mkoa wa Manyara.
7
Kikundi cha Taarabu kutoka Zanzibar kikitumbuiza katika mkutano huo.
8 9
Baadhi ya wajumbe wakicheza
10
Malkia wa Mipasha Khadija Omar Kopa akifanya vitu vyake jukwaani
17
Husna Mwilima akimwelekeza jambo na mjumbe mwenzake kutoka mkoa wa Kigoma.
18
Ndugu Jenista Mhagama na wajumbe wenzake kutoka mkoa wa Ruvuma wakiwa katika mkutano huo.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania