CURRENT NEWS

Thursday, March 2, 2017

MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA, KUFANYIKA MACHI 12, MJINI DODOMA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kufanya Mkutano wake Mkuu Maalum wa Taifa, Machi 12, 2017 mjini Dodoma.
Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, imesema Mkutano huo unafanyika kufuatia mageuzi makubwa yanayofanyika nadani ya Chama ambayo yanahitaji kufanyika kwa marekebisho ya Kanuni na Katiba ya CCM.

Ifuatayo ni Taarifa rasmi, tafadhali isome upate taarifa kwa kina kuhusu mkutano mkuu huo na mengine yatakayojiri 
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania