CURRENT NEWS

Tuesday, March 28, 2017

WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA MONDULI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Rais Muungano na  Mazingira Mhe Januari Makamba wa kushoto akiwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya  Monduli Robert Siyantemi . 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Rais Muungano na  Mazingira Mhe Januari Makamba aliyesimama akizungumza na watumishi Wilayani Monduli.
Katibu Tawala wa  Wilaya ya Monduli Robert Siyantem akisoma taarifa mbele ya Waziri  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba wa katikati. 

Katibu Tawala wa  Wilaya ya Monduli Robert Siyantemi akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba leo jioni tarehe 27/03/2017 Wilayani Monduli.

 Akiwa Wilayani Monduli, Waziri Makamba ametembelea Msitu wa Lendikinya na Msitu wa Monduli. Katika Ziara hiyo Waziri Makamba amezungumza na watumishi wa Umma na vile vile amezungumza na wakazi wa Enguike na kusisitiza umuhimu wa kuhifadhi misitu na kutunza mazingira.


 Aidha amesisitiza pia nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa Umma. Kabla ya kuelekea Wilayani Karatu, Waziri Makamba amezuru Kaburi la Hayati Edward Sokoine.

 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania