CURRENT NEWS

Sunday, April 9, 2017

MAMA MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA KATIKA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam   alikoenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Grace Magembe wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na  Diwani wa Kata ya Kivukoni Mhe. Henry Sato Massaba  wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na  Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea

 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikaribishwa kuongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea machache wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema akitoa maelezo mafupi ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli  wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema sehemu ya  zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli  wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage alizopokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema kama sehemu ya  zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli  wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Oceanm Road jijini Dar es salaam.
    Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa  wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapa pole wagonjwa wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa  wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi kwa mmoja wa wagonjwa katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na   wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  alipotembelea  wodi za Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa  wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi msaadammoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam.
 Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Theresia Mbando akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kwa kutembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala  kwa kutembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali za mitaa za Kivukoni na Sea View  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha na Skauti alipotembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  alipotembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.
   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia ndugu waliofika kuona wagonjwa  alipotembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye. PICHA ZOTE NA IKULU
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania