CURRENT NEWS

Sunday, May 28, 2017

DC MTATURU AMJULIA HALI MZEE CHOYO AMBAYE NI MLEMAVU WA VIUNGO
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu(katikati) na viongozi wa Kijiji cha Italala na  wa Kata ya Sepuka wakiwa na mzee mwenye ulemavu Idd Choyo walipomtembelea nyumbani kwake,Lengo la kumtembelea ni kujua maendeleo yake toka alipojengewa nyumba ya kuishi na serikali mwaka 2006 na kutekeleza ombi alilowahi kutoa mzee huyo la kujengewa choo na jiko ambapo DC Mtaturu ameahidi kumpatia mabati,mbao na gharama za fundi kwa ajili ya kupaua huku Kata na kijiji wakiahidi kusaidia matofali na kuchimba shimo la choo.
 
Copyright © 2014 Mkono Wangu Production Designed by EvMak Tanzania